1. Home
KUVIMBA KWA MISHIPA YA VENA MIGUUNI

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa mishipa ya vena miguuni ‘’varicose veins’’, ni tatizo la vena za miguu, linalosababisha mishipa ya damu kugeuka rangi na kuwa za bluu, kuvimba na kujikunja kunja chini ya ngozi. Mara nyingi utazikuta sehemu ya ndani ya mguu, kwenye ndama ya mguu au kwenye kifundo cha mguu. Mguu uliathirika unakuwa mzit...

KUKAZA KWA MISULI YA MIGUU

Maelezo ya jumla Kukaza kwa misuli ya miguu ''leg cramp'' kunasababisha maumivu kwenye misuli ya mguu au ndama ya mguu. Misuli inakaza na kukakamaa, na inauma ukijaribu kujongea. Maumivu huwa yanadumu kwa dakika kadhaa tu. Misuli inaweza kukaza ukiwa unaamka asubuhi au baada ya kukaa au kulala vibaya. Msuli unapobana ukiwa unafanya kazi n...

MAUMIVU YA BEGA

Maelezo ya jumla Maumivu ya bega yanaweza kuwepo muda wote au yanaweza kuwepo unapoweka mkono katika mkao fulani au kuuchezesha kuelekea uelekeo fulani, kwa mfano unapouzungusha. Maumivu haya yanaweza pia kusambaa kuelekea kwenye mkono. Sababu za kawaida za maumivu ya bega ni kuvimba kwa misuli na kano ‘’tendons’’ zinazozunguka ma...

MAUMIVU YA GOTI

Maelezo ya jumla Magoti ni maungio yanayobeba sehemu kubwa ya uzito wa mwili, na kwa sababu hii ni rahisi sana kuteguka au kuumia. Unaweza kuwa na maumivu ya goti moja au yote, yanaweza kuwa yamevimba, yana joto ukigusa na inakuwa ngumu kujongesha. Ukigeuza kwa nguvu sehemu ya goti ni rahisi sana kuumia, na hii ni moja wapo ya sababu kubw...

MAUMIVU YA NYONGA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi ya mkazo au maumivu ya nyonga ni kulika na kuisha kwa maungio ya nyonga kwa sababu ya ‘’arthritis’’. Tatizo hili huwapata zaidi wazee; kama unalo, utahisi maumivu ya paja, makalio au kwenye kinena pamoja na nyonga. Sababu nyingi...

KUKAZA AU MAUMIVU YA SHINGO

Maelezo ya jumla Kukaza au maumivu ya shingo, mara nyingi yanatokana na kukaza kwa misuli ya shingo kunakotokana na mkao mbaya au jeraha dogo. Unaweza kuwa na tatizo la kukaza au maumivu ya shingo na mabega kama ukikaa unajikuja kuinamia kompyuta kwa muda mrefu. Unaweza pia kuwa na maumiv...

KIPANDAUSO

Maelezo ya jumla Kipandauso ni maumivu makali ya kichwa, unahisi kama kinadunda na kinagonga upande mmoja tu hasa nyuma ya jicho au pembeni kidogo mwa jicho. Unaweza kuhisi  ,kuumizwa na kelele na macho yanashindwa kuhimili mwanga mkali. yanayosababishwa na kipandauso yanaweza kudumu kwa masaa kadhaa mpaka siku 3, na yanaweza kuwa makal...

KUOTA VINYAMA /MASUNDOSUNDO SEHEMU ZA SIRI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri/Masundosundo/vigwaru au "Genital warts", ni tatizo la kuota vinyama vidogo laini kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri. Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo "urethra", vulva, shingo ya kizazi , au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake. H...

TATIZO LA SAUTI KUKWARUZA AU KUPOTEA

Maelezo ya jumla Tatizo la sauti kukwaruza au kupotea ''hoarsness of voice'' ni shida inayokera, sauti yako inakua inakwaruza kwaruza na inakuwa ngumu wewe kusikika unapoongea. Sababu ya kawaida huwa ni kuvimba kwa sanduku la kutengenezea sauti ‘’voice box’’ kwa sababu ya maambukizi kama vile . Koo lako linaweza kuwa linawasha au...

Categories: 
KUWASHWA AU MAUMIVU YA KOO

Maelezo ya jumla Kuwashwa au maumivu ya koo (sore throat) ni tatizo la kwaida sana. Pamoja na koo kuuma, unaweza kuwa unapata shida kumeza, ukawa na ka-kikohozi kepesi, sauti inaweza kuwa inakwaruza kwaruza,, na kuvimba kwa tezi zilizo kwenye shingo. Kwa kawaida unakuta hii hali ya kuwasha au kuuma kwa koo inazidi kuwa mbaya ndani ya sik...

Categories: