1. Home
MAUMIVU MDOMONI AU ULIMI

Maelezo ya jumla Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha upate maumivu mdomoni au ulimi. Utando ute unaofunika mdomo na ulimi unaweza kusumbuliwa ''irritated'' na kusababisha uvimbe kwa kula vyakula ambavyo ni vya moto, vyenye pilipili sana au vinavyowasha au hata vinywaji vya moto au kwa sababu ya matumizi yaliyopitiliza ya madawa ya k...

Categories: 
MAUMIVU YA MENO

Maelezo ya jumla Maumivu ya jino yanaweza kuwa ya kadri unayoweza kuyavumilia au yanaweza kuwa makali sana, yanayokuwepo wakati wote, unahisi kama jino lina puta puta. Kuoza kwa meno kwa sababu ya usafi duni wa meno ndio sababu kubwa ya tatizo hili, lakini maumivu kwenye jino yanaweza pia kutokana na , jino lililopasuka au kuvunjika au ma...

Categories: 
TATIZO LA FIZI KUVUJA DAMU

Maelezo ya jumla kuhusu fizi kuvuja damu Tatizo la fizi kuvuja au kutokwa na damu kwenye fizi huwa ni ishara kuwa zimevimba au zina ‘’gingivitis’’. Fizi zenye afya huwa zina rangi iliyofifia na huwa imara, lakini kama fizi zina matatizo yoyote zinabadilika rangi na kuwa za zambarau au nyekundu, zinavim...

Categories: 
MAFUA YA NGURUWE

Maelezo ya jumla Mafua ya nguruwe (Swine flu) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi aina ya H1N1 na H3N2 wanaosababisha . Dalili za mafua ya nguruwe zinafanana kabisa na zile za mafua ya kawaida. Mwaka 2009 wanasayansi walitambua aina ya kirusi kinachoitwa H1N1. Kirusi hiki kilikuwa kimetengenezwa kwa muunganiko wa virusi ambao wanapatik...

TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU AU KUPASUKA

Maelezo ya jumla Ngozi kuwa kavu sana au kupasuka (dry skin) : Ngozi yako inapokosa unyevu inaanza , kukakamaa na inakuwa dhaifu na rahisi kupasuka. Ngozo inaweza kuonekana nyekundu, yenye mikunjomikunjo na kuwa kama una magamba, na katika hali kali sana inaweza kupasuka kabisa na kuvimba. Sehemu za miguu, mikono na mgongo ndio z...

KWIKWI

Maeleozo ya jumla Kila mmoja wetu anapatwa na kwikwi mara moja moja- unajikuta unavuta hewa kwa haraka na kwa mshtuo, kunakosababishwa na kuvutika kwa kiwambo kinachosaidia upumuaji (diaphragm). Japo mara nyingi kwikwi inatokea bila sababu yoyote, baadhi ya sababu za kawaida ni pamoja na kula chakula kuzidi kiasi au kula haraka h...

KUTOKWA | KUVUJA DAMU KUTOKA PUANI

Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani (Nosebleed) ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na hii hali mara chache pia. Sababu za kawaida ni pamoja na kuchokonoa pua na kupuliza kwa nguvu pua hasa wakati wa kutoa makamasi, lakini mara nyingi kuvuja damu puani huwa kunaokea bila sababu ya msingi au...

KUONDOA SUGU KWENYE MIGUU AU MIKONO

Maelezo ya jumla Kama kuna msuguano wa muda mrefu unaosababiswa na mgandamizo kwenye mikono au miguu kunatokea sugu ambayo inasababisha ngozi ya mahali hapo kuwa ngumu (calluses). Sugu zinaweza kutokea kwenye miguu kama unavaa viatu vinavyobana miguu au ambayo sole yake hailingani unapotembea na kwenye mikono kama unafanya kazi n...