Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.

Maswali ya jumla

Maswali ya jumla kuhusu huduma zetu

1. Je unawachagua vipi madaktari wanaotoa huduma ?

Madaktari wetu wote wana vyeti halali vya kitaaluma na wamesajiliwa na baraza la afya la Tanganyika na utendaji kazi wao unaendelea kufuatiliwa na kuangaliwa hata baada ya kuajiriwa ili kuhakikisha huduma bora inatolewa.

2. Je, mnapokea bima ya afya ?

Hapana, kwa sasa hatupokei bima yoyote, japo ni jambo tunaloliendea huko usoni.

3. Je, Huduma zenu zinapatikana Tanzania nzima?

Ndio, huduma zetu zinapatikana Tanzania nzima

Usalama na ufanisi wa huduma

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu usalama na ufanisi wa huduma zetu.

2. Je, daktari anaweza kuniandikia dawa za kutumia?

Ndio, daktari anaweza kukuandikia dawa za kutumia, zinaweza kuwa msaada kutibu maambukizi, mzio na matatizo mengine.

1. Je, taarifa zangu binafsi za kitabibu zinatunzwaje? Ni salama?

Data zote zimefungwa kwa funguo maalumu na hakuna taarifa zozote za mgonjwa zinazotunzwa baada ya kikao na daktari kuisha; hii ni pamoja na jina. Tunazingatia masharti ya usiri yanayoelekezwa kwenye HIPAA, PIPEDA na GDPR

Gharama na Njia za malipo

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu gharama za huduma zetu pamoja na njia za kufanya malipo.

1. Kwa nini WikiElimu sio bure?

Makala zote za afya afya zilizoko WikiElimu ni bure kabisa kusoma. Gharama unayolipia unapomwona daktari inatumika kulipia gharama za uendeshaji. Tunajitahidi kufanya huduma yetu kuwa bei nafuu kadri inavyowezekana.

2. Gharama ya hudua zenu ni shilingi ngapi?

Tunakuunganisha na madaktari waliosajiliwa na baraza la afya. Unalipia kiasi cha Tsh………. Kwa ajili ya huduma unayopata kwa dakika 15. Kama utahitaji kuongeza muda wa kuongea na daktari utapaswa kuongeza pesa.

3. Mnapokea malipo kwa njia gani?

…………………………….

Usaidizi

Tuko hapa kukusaidia kama una tatizo lolote

Pata Usaidizi

Jinsi ya kutumia

Jinsi ya kutumia,machaguzi yaliyopo n.k

Soma zaidi

Makala za video

Jifunze zaidi kuhusu afya yako kwa njia ya video.

Tazama Video

Jamii ya watumiaji

Kuwa sehemu ya jamii yetu kujifunza zaidi

Kuwa Mwanafamilia

Una Maswali zaidi ya yaliyoorodheshwa.? TuulizeWasiliana nasiTujulishe

wasiliana Nasi

Jiunge Nasi