UKIMWI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa kinga yako ya mwili. Kwa kawaida, mfumo wako wa kinga husaidia kupambana na magonjwa. Mfumo wako wa kinga unaposhindwa kufanya kazi yake vyema unaweza kuugua sana na hata kufa. VVU – Virusi vya Ukimwi – […]