UGONJWA WA MALARIA:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa huu ni pamoja na: uchovu, homa, kuhisi baridi, kutokwa jasho, maumivu ya kichwa, kichefuchefu na kutapika. Dalili zinazofuta zinaweza kuwa mbaya na hata kutishia maisha ya mgonjwa. Mgonjwa huanza kupata shida kupumua, kuchanganyikiwa, na hatimaye […]