JIPU LA INI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Jipu la ini (liver abscess) ni eneo kwenye ini lililojaa usaha. Je! Nini dalili za jipu la ini?    Maumivu ya kifua ( hasa sehemu ya chini-kulia)    Kinyesi chenye rangi ya udongo mfinyanzi Mkojo wenye rangi nzito  Homa, kuhisi baridi    Kupoteza hamu ya kula    Kichefuchefu, kutapika    Kwa kawaida mgonjwa huwa na maumivu ya […]