SARATANI YA MAPAFU:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Saratani ya mapafu ni kansa inayowapata watu wengi duniani kote. Ni kansa inayoongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake duniani. Uvutaji wa sigara ni sababu kuu ya kutokea kwa kansa nyingi za mapafu. Mambo mengine yanayoongeza hatari ya kupata saratani ya mapafu ni pamoja na kiwango kikubwa cha uchafuzi wa mazingira, […]