1. Home
  2. KANSA
UVUTAJI WA SIGARA

Hatari za kuvuta sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu, hali hii husababisha au . Kulingana na utafiti uliofanywa na timu ya watafiti wa kimataifa, watu chini ya miaka 40 wana uwezekano mk...

SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI

Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa  kizazi (cervical cancer) ni aina ya ambayo huathiri tishu za shingo ya kizazi (shingo ya kizazi ni kiungo kinachounganisha uke na mji wa mimba(uterasi)). Ni saratani ambayo kwa kawaida hukua taratibu sana na kwa kificho, inaweza isisababishe dalili yoyote mwanzoni, lakini inaweza kugundu...

SARATANI YA KIBOFU

Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani ya kibofu (bladder cancer) hutokea kwenye utando wa ndani wa kibofu. Je, nini dalili za kansa ya kibofu? Dalili za kansa ya kibofu ni pamoja na: Mkojo wenye damu (Mkojo huw...

KUCHUNGUZA MATITI YAKO MWENYEWE

Maelezo ya jumla Kujifanyia uchunguzi wa matiti mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo katika hali ya kawaida, ili kunapotokea mabadiliko, wazungumze na mtoa huduma ya afya mapema. Hata hivyo, hakuna makubaliano ya pamoja ya wataalamu wa tiba kuhusu kujifanyia uchuguzi wa matiti. Haij...

SARATANI YA MATITI

Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. Saratani ya matiti kwa wanaume hutokea kwa nadra. Dalili za saratani ya matiti ni pamoja na; Kuvimba titi, kuchubuka au kubonyea kwa ngozi ya titi, maumivu ya titi/chuchu, kurudi ndani kwa chuchu (retraction), wekundu, kuk...

SARATANI YA NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Mkundu ni sehemu ya mfumo wa kumeng’enya chakula ,inayoruhusu kinyesi kutoka nje. Imeundwa kwa aina tofauti za seli, na kila aina inaweza kuwa na kansa. Squamous cell carcinoma ndio aina ya saratani ya njia ya haja kubwa inayowapata wat...

SARATANI YA MAPAFU

Maelezo ya jumla Saratani ya mapafu (lung cancer) ni kansa inayowapata watu wengi duniani kote. Ni kansa inayoongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake nchini Marekani. Uvutaji wa sigara ni sababu kuu ya kutokea kwa kansa n...