KICHOMI : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia
Maelezo ya jumla Kichomi ni maumivu ya kifua yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au kukohoa, maumivu haya husababishwa na kuvimba kwa utando mdogo (pleural) unaofunika kifua na mapafu. Je! Nini dalili za kichomi?    Dalili kuu ya kichomi ni maumivu kifuani. Mara nyingi maumivu hutokea unapovuta pumzi ndani au kukohoa. Watu wengine wanaweza kuhisi […]