UGONJWA WA KIFUA KIKUU:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Kifua kikuu (Tuberculosis) ni maambukizi ya bakteria yanayoua zaidi ya watu milioni 1.8 kote duniani. Takribani watu milioni 10.4 duniani wameambukizwa ugonjwa huu. Tb ni ugonjwa unaoweza kuua 60% ya watu walioambukizwa kama hawatatibiwa, lakini wakitibiwa 90% ya wagonjwa walioambukiza hupona kabisa. Watu wengi ambao wameambukizwa wana kifua kikuu fiche. Hii ina […]