UGONJWA WA KISUKARI AINA YA 1:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Kisukari ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko kawaida.Mwili wa mgonjwa wa kisukari aina ya 1 hautengenezi insulini. Mfumo wa kinga ya mwili hushambulia na kuharibu seli za kongosho zinazozalisha insulini. Insulini ni homoni inayohitajika […]