Watoto

TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi ni kitu gani anaweza kufanya. Makala hii inalenga kuwa msaada unapokutana na changamoto ya kuharisha kwa watoto. Kuharisha kwa watoto ni tatizo linasababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano. Inakadiriwa kwamba kwa kila […]

Read More
Magonjwa ya ndani ya mwili

UGONJWA WA KIMETA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Dalili hutofautiana kulingana na aina ya kimeta. Ugonjwa huu haumbikizwi kutoka kwa mtu moja mpaka mwingine kama ilivyo mafua. Watu walio kwenye hatari zaidi ya kupata maambukizi ni wataalamu wa maabara na watu wanashughulika na wanyama. Utambuzi wa ugonjwa huu utafanyika kwa kuangalia dalili na kufanya vipimo. Matibabu yanaweza kuwa antibiotics na […]

Read More
Magonjwa ya ndani ya mwili

BRONCHIECTASIS (KUHARIBIKA KWA MFUMO WA HEWA)

Maelezo ya jumla Bronchiectasis ni uharibufu unaosababisha kupanuka kusiko kwa kawaida kwa njia ya hewa. Mtoto anapozaliwa na hali hii, inaitwa – congenital bronchiectasis Hali hii inapotokea baadae maishani, inaitwa – acquired bronchiectasis Ni nini dalili za bronchiectasis? Dalili mara nyingi hutokea polepole na hatua kwa hatua, zinaweza kutokea miezi au miaka baada ya tukio […]

Read More
Magonjwa ya ndani ya mwili

UGONJWA WA KIFUA KIKUU:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kifua kikuu (Tuberculosis) ni maambukizi ya bakteria yanayoua zaidi ya watu milioni 1.8 kote duniani. Takribani watu milioni 10.4 duniani wameambukizwa ugonjwa huu. Tb ni ugonjwa unaoweza kuua 60% ya watu walioambukizwa kama hawatatibiwa, lakini wakitibiwa 90% ya wagonjwa walioambukiza hupona kabisa. Watu wengi ambao wameambukizwa wana kifua kikuu fiche. Hii ina […]

Read More
X