Masikio, pua, koo

UGONJWA WA FIZI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa fizi (gingivitis) husababisha kuvimba kwa fizi. Dalili za ugonjwa wa fizi? Kutokwa damu kwenye fizi (unakuta damu kwenye mswaki hata kama ukisugua polepole meno) Kuwa na fizi zenye rangi nyekundu sana au zenye rangi ya zambarau Kuwa na fizi zinazouma ukizigusa, lakini vinginevyo haziumi Vidonda kinywani Fizi zilizovimba Fizi zinazong’aa […]

Read More
X