KONDOMU ZA KIUME
Kondomu za Kiume ni Nini? Kondomu za kiume ni kifuko au kifuniko, ambacho huvalishwa kwenye uume unaposimama. Pia zinajulikana kama “mpira”, “soksi”, “salama” na kinga; zinajulikana kwa majina mbalimbali ya uzalishaji. Nyingi hutengenezwa kwa mpira mwembamba laini (latex). Hufanya kazi kwa kuweka kizuizi kinachofanya mbegu ya kiume isiingie ukeni, na kuzuia mimba. Pia huzuia maambukizi […]