UGONJWA UNAOTOKANA NA KUWA KATIKA MAENEO YALIYO JUU KUTOKA SANA USAWA WA BAHARI
Maelezo ya jumla Ugonjwa unaotokana na kuwa katika maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari (altitude sickness), huu ni ugonjwa unaowapata watu wanaopanda milima, wanaoruka angani kwa parachuti au wanaosafiri kwenda kwenye maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari (kwa kawaida juu sana kuliko futi 8000 u mita 2400). Nini dalili za ugonjwa […]