1. Home
  2. KUJIKUNA
MAGONJWA YA NGONO

Maelezo ya jumla Magonjwa ya ngono (Sexual transmitted diseases) ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia . Matendo ya kujamiiana hujumuisha kuingiza uume ukeni au kwenye sehemu ya haja kubwa na kunyonyana sehemu za siri, Magonjwa haya huweza kuwapata watu wa rika...

KUWASHWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi anaokufanya utamani kukuna sehemu ilioathiriwa. Unaweza kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima. Kuwashwa husababishwa na nini? Kuna sababu nyingi za kuwashwa, ikiwa ni pamoja na: Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba...

Categories: 
UKURUTU

Maelezo ya jumla Ukurutu (eczema) , ni neno linalotumika kuwakilisha aina mbalimbali za uvimbe wa ngozi. Ukurutu hujulikana pia kama ugonjwa wa ngozi (dermatitis). Ukurutu sio hatari, lakini aina nyingi za ukurutu h...

Categories: