KISUKARI AINA YA 2:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Mgonjwa wa kisukari huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko ilivyo kawaida. Kisukari aina ya 2, ndiyo aina ya kisukari inayowapata watu wengi zaidi, karibia 90-95% za wagonjwa wote wanaotambuliwa kuwa na kisukari huwa na aina hii ya kisukari. Wagonjwa wa aina ya 2 ya kisukari hawatengenezi insulini ya […]