UGONJWA WA KISUKARI:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu vya sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na kukojoa mara kwa mara, kuwa na kiu sana, na kuhisi njaa sana. Bila kutibiwa, ugonjwa huu unaweza kusababisha matatizo mengi. Matatizo […]