Uzazi wa mpango

VIDONGE VYENYE VICHOCHEO VIWILI VYA KUPANGA UZAZI

Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili ni Nini? Vidonge vyenye vichocheo viwili vina kiasi kidogo cha vichocheo vya aina mbili projestini na estrojeni vilivyo kama vichocheo vya asili vya projesteroni na estrojeni katika mwili wa binadamu. Vidonge hivi hufanya kazi hasa kwa kuzuia kuachiwa kwa mayai kutoka kwenye ovari (uovuleshaji). Mambo Muhimu Meza kidonge kimoja kila siku. […]

Read More
X