1. Home
  2. KUPOTEZA FAHAMU
KIZUNGUZUNGU

Maelezo ya jumla Kizunguzungu (dizziness) ni hali ya kuhisi kama unataka kuzimia, unatetereka, unapoteza balance au kuhisi kama wewe au chumba ulichomo kinazunguka. Sababu nyingi hazitishii maisha na hupoa zenyewe baada ya muda fulani au baada ya matibabu. Ni nini husababisha kizunguzungu? Kizunguzungu hutokea ubongo unapokosa...

KOMA

Maelezo ya jumla Koma (coma) si ugonjwa. Ni hali ya kuwa na usingizi mzito sana, mgonjwa kwa muda mrefu na hawezi kuhisi chochote. Koma inaweza kusababishwa na , , , , maambukizi kwenye ubongo, upungufu wa oksijeni mwilini unao...