ULEVI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na kunywa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata dalili za kimwili za uraibu wa pombe lakini ukaendelea kunywa pombe, japo utapata matatizo ya kiafya, kiakili, kijamii, kifamilia na hata kazini,utaendelea kunywa. Pombe inaweza kutawala maisha na mahusiano yako. Unywaji wa pombe kupita kiasi […]