
Maelezo ya jumla Hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, wanawake hutokwa na damu ukeni kwa siku kadhaa na mara nyingi hutokea kila mwezi mara moja. Hali hii huwapata wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani wale ambao wamekwisha vunja ungo tayari. Mzunguko wa hedhi ambao ni wa kawaida ni ule ambao hua...