Watoto

TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi ni kitu gani anaweza kufanya. Makala hii inalenga kuwa msaada unapokutana na changamoto ya kuharisha kwa watoto. Kuharisha kwa watoto ni tatizo linasababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano. Inakadiriwa kwamba kwa kila […]

Read More
Maabara|Vipimo

UCHUNGUZI WA NJIA YA HAJA KUBWA KWA KIDOLE

Digital rectal examination (DRE) ni uchunguzi wa njia ya haja kubwa kwa kidole unaofanywa na daktari au mtaalamu wa huduma ya afya. Mgonjwa huwekwa katika mkao unaomruhusu daktari kufanya uchunguzi wa sehemu ya ndani ya njia ya haja kwa kutumia kidole cha mkono (mgonjwa anaweza kulala upande, anaweza kuchuchuma kwenye meza ya kupimia, anaweza pia […]

Read More
Maabara|Vipimo

KIPIMO CHA ELECTROCARDIOGRAM

Kipimo cha electrocardiogram ni nini? Kipimo cha electrocardiogram – hufupishwa kama EKG au ECG – ni kipimo kinachopima shughuli ya umeme kwenye moyo. Kwa kila pigo la moyo, wimbi la umeme husafiri kwenye moyo. Wimbi hili la umeme husababisha misuli ya moyo kukaza na kusukuma damu. Wakati wa pigo la moyo la kawaida, ECG huonesha […]

Read More
X