SARATANI YA KIBOFU:Sababu,dalili,matibabu
Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani ya kibofu (bladder cancer) hutokea kwenye utando wa ndani wa kibofu. Je, nini dalili za kansa ya kibofu? Dalili za kansa ya kibofu ni pamoja na: Mkojo wenye damu (Mkojo huwa kama una kutu au […]