Magonjwa ya ndani ya mwili

UGONJWA WA KISUKARI AINA YA 1:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Kisukari ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko kawaida.Mwili wa mgonjwa wa kisukari aina ya 1 hautengenezi insulini. Mfumo wa kinga ya mwili hushambulia na kuharibu seli za kongosho zinazozalisha insulini. Insulini ni homoni inayohitajika […]

Read More
Macho

MTOTO WA JICHO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mtoto wa jicho (cataract) ni ukungu kwenye lenzi ya jicho unaoathiri uwezo wa kuona. Inaweza kutokea kwa jicho moja au yote, lakini haiwezi kuenea kutoka kwenye jicho moja hadi jingine. Nini dalili za mtoto wa jicho? Mgonjwa huwa na matatizo yafuatayo: Kuona ukungu kwenye jicho Kupoteza uwezo wa kuona rangi vizuri Kuona […]

Read More
Magonjwa ya ndani ya mwili

UVIMBE KWENYE UBONGO:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Hakuna sababu inayojulikana ya kutokea kwa uvimbe kwenye ubongo. Ubongo ni sehemu ya mfumo mkuu wa neva. Ni chanzo cha mawazo, hisia, kumbukumbu, lugha, kuona, kusikia, kutembea, na kadhalika.  Kwa upande mmoja, uvimbe unaweza kuharibu moja kwa moja seli za ubongo. Kwa upande mwingine, unaweza kuharibu seli za ubongo kwa kuzibana, kuzikandamiza […]

Read More
X