
Maelezo ya jumla Mara nyingi kinyesi kinapokuwa na damu huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. inaweza kutoka mahali popote kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula, kuanzia mdomoni hadi kwenye sehemu ya kutolea haja kubwa. Damu inaweza kuwepo kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba huwezi kuiona kwa macho...