1. Home
  2. MAGONJWA YA MOYO
UVUTAJI WA SIGARA

Hatari za kuvuta sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu, hali hii husababisha au . Kulingana na utafiti uliofanywa na timu ya watafiti wa kimataifa, watu chini ya miaka 40 wana uwezekano mk...

ECHOCARDIOGRAM

Maelezo ya jumla Echocardiogram hutumia mawimbi ya sauti ili kuzalisha picha ya moyo. Kipimo hiki humruhusu daktari kuuchunguza moyo ukipiga na kusukuma damu. Daktari anaweza kutumia picha za echocardiogram kutambua ugonjwa wa moyo. Kulingana na taarifa anazohitaji daktari wako, unaweza kuhitajika kufanya aina moja au nyingine...

Categories: 
KUPANDIKIZA MOYO

Maelezo ya jumla Kupandikiza moyo (heart transplant ) ni upasuaji unaofanyika ili kuondoa moyo ulioharibika au mgonjwa na badala yake kupandikiza moyo wenye afya wa mtoaji (mfadhili). Maelezo Kupata moyo kwa ajili ya kupandikiza inaweza kuwa ngumu. Moyo ni lazima utolewe kwa mfadhili (donor) ambaye ubongo-...

MSHTUKO WA MOYO/SHAMBOLIO LA MOYO

  Maelezo ya jumla Shambulizi la moyo (heart attack) hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo unapokatishwa. Ikiwa mtiririko wa damu haukurejeshwa haraka misuli ya moyo huharibika/kufa kutokana na ukosefu wa oksijeni. shambulio la moyo linaongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake nchini...