MAPAFU KUJAA MAJI : Dalili, Sababu, Matibabu
Maelezo ya jumla Mapafu kujaa maji (pulmonary edema) ni hali isiyo ya kawaida ya maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha kupumua kwa shida. Je! Nini dalili za mapafu kujaa maji?    Wasiwasi   Kukohoa  Kupumua kwa shida Kutokwa jasho sana Kuhisi uhitaji mkubwa wa hewa au mtu kujihisi kama anazama majini (ikiwa hili litatokea ghafla mtu akiwa […]