Magonjwa ya ndani ya mwili

KWIKWI:Sababu,dalili,matabibu

Maeleozo ya jumla Kila mmoja wetu anapatwa na kwikwi mara moja moja- unajikuta unavuta hewa kwa haraka na kwa mshtuo, kunakosababishwa na kuvutika kwa kiwambo kinachosaidia upumuaji (diaphragm). Japo mara nyingi kwikwi inatokea bila sababu yoyote, baadhi ya sababu za kawaida ni pamoja na kula chakula kuzidi kiasi au kula haraka haraka sana, kula chakula […]

Read More
X