
Maelezo ya jumla Mtoto mwenye kibwiko (clubfoot) huzaliwa na miguu au mguu wenye wayo uliogeukia ndani au nje. Hali hii huwepo wakati mtoto anapozaliwa. Ni nini dalili za kibwiko? Mwonekano wa mguu hutofautiana. Mguu mmoja au yote inaweza kuathirika. Wayo wa mguu hugeukia ndani au nje anapozaliwa, na inaweza kuwa ngumu kuiny...