Magonjwa ya ndani ya mwili

MAUMIVU/CHEMBE YA MOYO ”ANGINA”

Maelezo ya jumla  Chembe ya moyo (angina) ni aina ya usumbufu au maumivu ya kifua ambayo yanatokea kama matokeo ya upungufu wa damu inayopeleka okisijeni kwenye misuli ya moyo, okisijeni inapopungua inashindwa kukidhi mahitaji ya misuli ya moyo na kusababisha maumivu kifuani. Maumivu haya ya kifua kwa kawaida yanatokea baada ya kufanya shughuli nzito na […]

Read More
X