MKAMBA :Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
Maelezo ya jumla Mkamba (bronchitis) ni kuvimba kwa njia kuu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu. Mkamba unaweza kuwa wa muda mfupi tu (acute) au sugu (chronic), hii inamaanisha kuwa mkamba hudumu kwa muda mrefu na mara nyingi hujirudia rudia. Nini dalili za mkamba? Dalili za mkamba ni pamoja na: Kujisikia vibaya kifuani Kikohozi chenye […]