UGONJWA WA PUMU:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Pumu ni ugonjwa unaosababishwa na mkazo wa ghafla na kuvimba kwa njia ya hewa, hii husababisha, kifua kubana, kukorota, kupumua kwa shida na kukohoa. Je, nini dalili za Pumu?    Watu wengi wenye ugonjwa huu, huwa wanapata shida ya kupumua wakati wa shambulio na baada ya shambulio la pumu mgonjwa hurudi katika hali […]