1. Home
  2. SARATANI
KANSA/SARATANI

KANSA/SARATANI Maelezo ya jumla Saratani(cancer) ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili Dalili za kansa hutegemea ni aina gani ya kansa na eneo la mwili ilipotokea. Kwa mfano, saratani ya mapafu inaweza kusababisha kukohoa, kupata shida kupumua, au maumivu ya kifua. Kansa...