UGONJWA WA POLIO/UGONJWA WA KUPOOZA
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa polio ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. Ugonjwa huu husababishwa na virusi (poliovirus) wanaoishi kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Si kila mtu anayeambukizwa virusi hivi vya polio hupooza, watu wengi huwa na dalili za kawaida tu, kama; maumivu ya kichwa, homa, kutapika, maumivu ya mgongo, maumivu ya […]