SINDANO ZENYE KICHOCHEO KIMOJA ZA KUZUIA MIMBA
Sindano Zenye Kichocheo Kimoja (Sindano za kila baada ya miezi 3) ni Nini? Sindano zenye kichocheo kimoja za kuzuia mimba ni sindano za kupanga uzazi anazochomwa mwanamke kila baada ya miezi mitatu ili kuzuia mimba. Aina mbili za sindano hizi ni Depot medroxyprogesterone acetate (DMPA) na norethisterone enanthate (NET-EN) kila moja ina projestini kama kilivyo […]