
Maelezo ya jumla Msongo (Stress) hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko humpata mtu akipata shida/taabu, dhiki au matatizo fulani. Wasiwasi (anxiety) ni hisia ya hofu na mahangaiko. Chanzo cha dalili hizi mara nyingi hazijulikani. Je! Nini dalili za w...