Magonjwa ya ndani ya mwili

UGONJWA WA PARKINSON: Sababu, dalili, matibabu

Ugonjwa wa Parkinson ni nini? Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa ubongo unaowaathiri zaidi wazee. Unatokea kwa sababu sehemu za ubongo zinazoongoza na kudhibiti mjongeo wa misuli umeharibiwa. Ugonjwa huu unaweza kusababisha hali ya kutetemeka na kukakamaa, kunakoweza kusababisha ukajongea kwa shida. Nani anapata ugonjwa wa Parkinson na nini kinausababisha? Mtu mmoja katu ya watu […]

Read More
X