Magonjwa ya ngozi, kucha, nywele

UKURUTU : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Ukurutu (eczema), ni neno linalotumika kuwakilisha aina mbalimbali za uvimbe wa ngozi. Tatizo hili hujulikana pia kama ugonjwa wa ngozi (dermatitis). Ukurutu sio hatari na hauambukizwi, lakini aina nyingi husababisha ngozi kuwa nyekundu, kuvimba na kuwasha. Mambo ambayo yanaweza kusababisha shida hii ni pamoja na magonjwa, vitu vinavyowasha, mzio au aleji na […]

Read More
X