NGIRI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo vya ndani ya tumbo kuchoropoka na kutokeza nje ya ukuta wa tumbo. Ukuta wa tumbo umeundwa na safu imara ya fascia inayoizunguka misuli ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kulinda na kuzuia vinavyopaswa kuwa […]