UGONJWA WA KISONONO: Sababu, dalili, matibabu
Maelezo ya jumla Kisonono (Gonorrhea) ni ugonjwa wa zinaa. Je, Nini dalili za kisonono? Dalili za kisonono huanza kuonekana siku 2 – 5 baada ya kuambukizwa. Hata hivyo, kwa wanaume, dalili zinaweza kuchelewa mpaka mwezi. Watu wengine hawapati dalili kabisa. Wanaweza kuwa hawajui kabisa kwamba wameambukizwa ugonjwa huu, na kwa sababu hiyo hawatafuti matibabu. Hii […]