1. Home
  2. UPUNGUFU WA DAMU
KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU

Maelezo ya jumla Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana kuliko kawaida. Hii humaanisha moyo, ubongo, na sehemu nyingine za mwili hazipati damu ya kutosha. Nini dalili za kushuka kwa shinikizo? Dalili zinaweza kujumuisha: Kuona maluweluwe...

HOMA YA EBOLA

Maelezo ya jumla Homa ya Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu, huua zaidi ya 90% ya wagonjwa wanaoambukizwa. Japo asili ya virusi vya ebola haijulikani, popo hufikiriwa kuwa chanzo cha maambukizi. Unaweza kuambukizwa ebola kwa kugusa majimaji ya mwili yenye uambukizo. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na: , kuhis...

MALARIA

Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa huu ni pamoja na: , , kuhisi baridi, , , . Dalili zinazofuta zinaweza kuwa mbaya na hata kutishia maisha ya mgonjwa. Mgonjwa huanza kupata shida kupumua, , na hatimaye . Kuna aina tano za vimelea wanaoweza kusa...

KUTOKWA DAMU

Maelezo ya jumla Kutokwa damu (bleeding) kunaweza kutokea nje au ndani ya mwili: Ndani ya mwili, damu huvuja kutoka kwenye mishipa ya damu au viungo Nje ya mwili, damu hutoka kupitia kwenye matundu ya asili (kama vile uke, mdomo, au njia ya haja kubwa) au damu inapotoka kupitia kwenye ngozi D...

DAMU KWENYE KINYESI

Maelezo ya jumla Mara nyingi kunapokuwepo na damu kwenye kinyesi huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. inaweza kutoka mahali popote kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula, kuanzia mdomoni hadi kwenye sehemu ya kutolea haja kubwa. Damu inaweza kuwepo kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba huwezi kuiona kwa...