Watoto

TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi ni kitu gani anaweza kufanya. Makala hii inalenga kuwa msaada unapokutana na changamoto ya kuharisha kwa watoto. Kuharisha kwa watoto ni tatizo linasababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano. Inakadiriwa kwamba kwa kila […]

Read More
Maabara|Vipimo

DARUBINI

Maelezo ya jumla Darubini (Microscope) ni chombo kinachotumika kuangalia vitu ambavyo ni vidogo sana kuonekana kwa macho pekee . Sayansi ya kuchunguza vitu vidogo kwa kutumia chombo hiki inaitwa microscopy. Neno microscopic humaanisha vitu vidogo sana, visivyoonekana kwa jicho isipokuwa kwa msaada wa darubini. Darubini ya kwanza iliyofaa kwa matumizi ilitengenezwa huko Uholanzi miaka ya […]

Read More
X