CHUNUSI
Maelezo ya jumla
Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe na/au meusi.
Je, nini dalili za chunusi?
Chunusi kwa kawaida huto kea kwenye uso na mabega, lakini pia zinaweza kutokea kwenye kiwiliwili, mik...