KANSA / SARATANI : Dalili, sababu, Matibabu
Maelezo ya jumla Saratani au kansa ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili za saratani Dalili za kansa hutegemea ni aina gani ya kansa na eneo la mwili ilipotokea. Kwa mfano, saratani ya mapafu inaweza kusababisha kukohoa, kupata shida kupumua, au maumivu ya kifua. Kansa ya utumbo mara nyingi husababisha […]