KUFUNGA KIZAZI MWANAUME (VASEKTOMI)
Kufunga Kizazi Mwanaume (Vasektomi) ni Nini? Kufunga kizazi mwanaume (Vasektomi) ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa mwanaume ambayo hatahitaji watoto zaidi. Kwa kutumia tundu au mkato mdogo kwenye korodani, mtoa huduma ataitafuta mirija miwili ambayo hubeba mbegu za kiume kwenda kwenye uume (vas deferens) na kuikata au kuiziba na kuifunga au kuichoma kwa […]