Uzazi wa mpango

KUFUNGA KIZAZI MWANAMKE

Nini Maana Kufunga Kizazi Mwanamke? Kufunga kizazi mwanamke ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa wanawake ambao hawahitaji kupata watoto tena. Kuna njia 2 za upasuaji zinazotumika zaidi: Upasuaji ujulikanao kama “minilaparatomy” unaofanyika kwa kufanya upasuaji mdogo kwenye fumbatio. Mirija ya falopio huvutwa kupitia kwenye sehemu iliyopasuliwa na kukatwa au kuzibwa. Laparoskopi inajumuisha kuingiza […]

Read More
Uzazi wa mpango

KITANZI CHENYE MADINI YA SHABA

Kitanzi Chenye Madini ya Shaba ni Nini? Kitanzi chenye madini ya shaba ni kiplastiki kilichozungushiwa madani ya shaba. Mtoa huduma ya afya aliyepata mafunzo maalum huingiza kitanzi ndani ya kizazi cha mwanamke kupitia uke na mlango wa kizazi. Karibu aina zote za vitanzi zina nyaya au nyuzi mbili, zilizozungushiwa na kufungwa. Nyaya hizo huning’inia kupitia […]

Read More
Uzazi wa mpango

SINDANO ZA KILA MWEZI ZA KUZUIA MIMBA

Sindano za Kila Mwezi za Kuzuia Mimba ni Nini? Sindano za kila mwezi za kuzuia mimba zina vichocheo – projestini na estrojeni – kama vilivyo vichocheo vya asili vya projestini na estrojeni kwenye mwili wa binadamu. (Vidonge vyenye vichocheo viwili pia vina aina hizi za vichocheo). Pia zinajulikana kama dawa mseto ya sindano kuzuia mimba, […]

Read More
Uzazi wa mpango

SINDANO ZENYE KICHOCHEO KIMOJA ZA KUZUIA MIMBA

Sindano Zenye Kichocheo Kimoja (Sindano za kila baada ya miezi 3) ni Nini? Sindano zenye kichocheo kimoja za kuzuia mimba ni sindano za kupanga uzazi anazochomwa mwanamke kila baada ya miezi mitatu ili kuzuia mimba. Aina mbili za sindano hizi ni Depot medroxyprogesterone acetate (DMPA) na norethisterone enanthate (NET-EN) kila moja ina projestini kama kilivyo […]

Read More
Uzazi wa mpango

VIDONGE VYA DHARURA VYA KUZUIA MIMBA

Vidonge vya Dharura vya Kuzuia Mimba ni nini? Vidonge vya dharura vya kuzuia mimba ni vidonge ambavyo vina projestini pekee, au projestini na estrojeni kwa pamoja – vichocheo vilivyo kama vichocheo asilia vya projestini na estrojeni kwenye mwili wa binadamu. Vidonge vya dharura kuzuia mimba wakati mwingine huitwa vidonge vya “morning after” au “postcoital contraceptives. […]

Read More
Uzazi wa mpango

VIDONGE VYENYE VICHOCHEO VIWILI VYA KUPANGA UZAZI

Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili ni Nini? Vidonge vyenye vichocheo viwili vina kiasi kidogo cha vichocheo vya aina mbili projestini na estrojeni vilivyo kama vichocheo vya asili vya projesteroni na estrojeni katika mwili wa binadamu. Vidonge hivi hufanya kazi hasa kwa kuzuia kuachiwa kwa mayai kutoka kwenye ovari (uovuleshaji). Mambo Muhimu Meza kidonge kimoja kila siku. […]

Read More
X