SONONA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia
Maelezo ya jumla Sonona (Depression) ni hali ya kuhisi huzuni, kushuka moyo na kukosa furaha. Wengi wetu hujihisi hivi kwa wakati mmoja au mwingine kwa muda mfupi. Ugonjwa wa sonona ni tatizo la kihisia, mgonjwa huhisi huzuni mwingi na hasira. Mafadhaiko wa aina hii huvuruga mfumo wa maisha ya kila siku wa mgonjwa. Je! Nini […]