1. Home
  2. Vifaa tiba
EKSIREI

Eksirei ni nini? Eksirei (X-ray) ni kipimo cha picha ambacho kimetumika kwa miongo mingi. Kinamsaidia daktari kutazama ndani ya mwili wa mgonjwa bila ya kufanya upasuaji wowote. Hii inasaidia kutambua, kufuatilia, na kutibu hali nyingi za kitabibu. Kuna aina nyingi tofauti tofauti za x-ray zinazotumika kwa madhumuni tofauti tofauti. Kw...

Categories: