Uzazi wa mpango

VIPANDIKIZI

Vipandikizi ni Nini? Vipandikizi ni vijiti vidogo vya plastiki au kapsuli, kila kimoja kina ukubwa wa njiti ya kibiriti, ambacho hutoa vichocheo vya projestini vilivyo kama vichocheo vya asili vya projesteroni kwenye mwili wa binadamu. Mtoa huduma ya afya aliyepata mafunzo maalum hufanya upasuaji mdogo kuingiza vipandikizi chini ya ngozi kwenye mkono wa mwanamke. Havina […]

Read More
X